Mkuu wa kanda wa WHO atoa sauti ya wasiwasi wake juu ya kuongezeka kwa Mashariki ya Kati – Masuala ya Ulimwenguni

Wiki mbili zilizopita zimeshuhudia aina ya virusi vya polio aina ya 2 vilivyogunduliwa katika sampuli za maji taka huko Gaza, mashambulizi mabaya ya kijeshi katika nchi kadhaa jirani, na uthibitisho wa njaa katika jimbo la Darfur Kaskazini mwa Sudan, miongoni mwa changamoto nyingine. Kujenga upya mifumo ya afya WHO Mkurugenzi wa Kanda Dk. Hanan Balky…

Read More

Tumie teknolojia Kwenye kilimo kujikomboa kiuchumi

Naibu waziri wa elimu sayans na Teknolojia Omari kipanga mbunge wa jimbo la Mafia amesema kuwa ameridhishwa na maonesho ya nane nane Kanda ya masharki yanayofanyika katika viwanja vya nane nane Morogoro katika sekita za kilimo na uvuvi ambapo amewataka wakulima kutumiant teknolojia Ili kujikomboa kiuchumi. Akizungumza na Waandishi wa habari Mhe. naibu waziri amesema…

Read More

Rais wa Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akemea viongozi wanaotumia majukwaa ya kisiasa kuhubiri chuki na ubaguzi

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekemea tabia ya baadhi ya vyama vya upinzani kutumia majukwaa ya kisiasa kuhubiri chuki na ubaguzi. Ameeleza kusikitishwa na baadhi ya Wanasiasa wa vyama vya upinzani kusambaza taarifa za kibaguzi na kubeza Serikali ya Mapinduzi ya…

Read More

RATIBA KAMILI YA EPL 2024/25 HII HAPA

    Friday 16 August 2024 Man Utd v Fulham Saturday 17 August 2024 Ipswich Town v Liverpool Arsenal v Wolves Everton v Brighton Newcastle United v Southampton Nottingham Forest v AFC Bournemouth West Ham v Aston Villa Sunday 18 August 2024 Brentford v Crystal Palace Chelsea v Man City Monday 19 August 2024 Leicester…

Read More

SERIKALI KUTAMBUA MCHANGO WA VIJANA WANAOJITOLEA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, amesema kuwa Serikali inaandaa utaratibu rasmi wa kutambua mchango wa vijana wanaojitolea kwenye taasisi mbalimbali za serikali. Sangu ametoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti alipokuwa akizungumza katika mikutano ya hadhara iliyofanyika katika Kata ya Ikozi na Kalambanzite, Halmashauri ya Wilaya…

Read More

DK FARAJA KRISTOMUS AELEZA MCHANGO WA MSHAHARA MDOGO NA MADEREVA KATIKA RUSHWA BARABARANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika mjadala wa Mwananchi X Space ulioandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Dk Faraja Kristomus, mchambuzi wa masuala ya kijamii, alieleza kuwa sio askari pekee bali pia madereva wanachangia kuendeleza vitendo vya rushwa barabarani. Dk Kristomus alisisitiza umuhimu wa kuchunguza mchango wa pande zote mbili katika suala hili. “Mara nyingi tunawalaumu askari kwa…

Read More

TBA yabuni miradi kuendeleza sekta ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi

  Meneja wa Mkoa wa Dodoma wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA),Mkadiriaji Majenzi, Qs. Emanuel Wambura,akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda TBA kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa ya Nane Nane, yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni,jijini Dodoma *Yajenga Vihenge vya kuhifadhi mazao katika Mikoa Mitatu Na Chalila Kibuda,Michuzi TV Dodoma WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA)…

Read More

WAKILI FATMA KARUME APINGA NA KUITAKA SERIKALI KULIPA FIDIA HARAKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitoa wito kwa Watanzania kuruhusu miradi ya maendeleo kupita kwenye viwanja na mashamba yao, huku serikali ikiahidi kulipa fidia baadaye. Hata hivyo, kauli hii imeibua maoni tofauti kutoka kwa wananchi na wataalamu wa sheria. Wakili wa kujitegemea, Fatma Karume, alitoa maoni yake kupitia ukurasa…

Read More