TAKUKURU Kagera yarejesha milioni 4.3 za TASAF

Na Renatha Kipaka, Kagera TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera imerejesha kiasi cha shilingi milioni 4.3, fedha ambayo ilipaswa kulipwa kwa wanufaika 139 wa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini katika kijiji cha Kumtama, Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera. Naibu Mkuu wa TAKUKURU mkoani hapo, Ezekia Sinkala, alitoa taarifa hiyo…

Read More

BALOZI NCHIMBI AWEKA NENO UPATIKANAJI WA NIDA NGARA

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameiagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuharakisha mchakato wa upatikanaji wa Vitambulisho vya Uraia (NIDA) kwa wananchi wa Ngara, mkoani Kagera, wanaokidhi vigezo. Nchimbi ameyasema hayo Agosti 7, 2024 alipokuwa akizungumza na maelfu ya wananchi wa Mji wa Ngara, katika Uwanja…

Read More

Mkutano Mkuu Faida Fund kufanyika Jumamosi

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Mkutano mkuu wa kwanza wa mwaka wa Mfuko wa Uwekezaji wa Faida (Faida Fund) utafanyika Agosti 10, 2024 mkoani Dar es Salaam. Mkutano huo ni wa kwanza tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Faida unaolenga kutoa fursa kwa wawekezaji wote wa mfuko kupokea na kujadili taarifa ya fedha kwa kipindi cha…

Read More

Dk. Biteko Mgeni rasmi mkutano wa tatu wa TIA Arusha

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko anataraji kuwa mgeni rasmi kwenye  mkutano wa tatu wa Taasisi  ya Uhasibu Tanzania ( TIA) unaofahamika kama “The Third International Conference on Business Studies”‘ ambao utafanyika jijini Arusha Novemba 7 hadi 9, mwaka huu. Hayo yamebainishwa Agosti 7, 2024 na…

Read More

SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO ZA WADAU WA USAFIRI WA MAJINI .

Serikali imesem changamoto zinazowakabili wadau wa Bandari Kavu na Mawakala wa meli nchini zitatuliwa haraka iwezekanavyo ili waweze kufanya kazi katika mazingira mazuri na kuchangia kuinua mapato ya Serikali. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile (Mb) leo tarehe 07 Agosti, 2024, jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kutembelea bandari…

Read More

NACTVET yatoa Elimu Maonesho ya Nane Nane Zanzibar

Afisa Uthibiti Ubora Mwandamizi wa NACTVET, Mohammed Mbasha akihudumia wananchi waliotembelea banda la NACTVET kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayoendelea katika Viwanja vya Dole Kizimbani, Zanzibar Wananchi na wadau mbalimbali wakipata huduma katika Banda la Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kwenye Maonesho ya Kilimo (Nanenane) yanayoendelea katika…

Read More