AZIZ K AFUNGUKA HAYA KUHUSU HERSI SAIDI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Nyota wa klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amefunguka sababu ya kuzipiga chini ofa za vilabu vikubwa barani Afrika kama Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, CR Belouizdad ya Algeria, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini na Wydad Casablanca ya Morocco na kuamua kubaki Yanga. Akiongea na jarida maarufu la michezo Afrika…