BILIONI 5 KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA MOROGORO
Na WAF – Morogoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa kuanza ujenzi wa jengo la Afya ya uzazi mama na mtoto ili kurahisha upatikanaji wa huduma hizo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema hayo leo Agosti 6, 2024…