Mtoto wa Sauli aliza watu akiweka shada kwenye kaburi la baba yake
Chunya. Adrich Mwalabila (3), mtoto wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabila maarufu kwa jina la Sauli (46), amewatoa machozi mamia ya watu baada ya kuitwa kwa ajili ya kuweka shada la maua kwenye kaburi la baba yake. Adrich alinusurika kifo katika ajali hiyo iliyochukua uhai wa baba yake Agosti 4,…