Kanuni kupitiwa kukilinda Kiwanda cha Mkulazi
Dar es Salaam. Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema watafanya kila jitihada kuhakikisha wanakilinda Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi kitakachozalisha sukari ya viwandani. Bashe amesema Bodi ya Sukari Tanzania imeanza utaratibu wa kupitia kanuni za namna ya kukilinda kiwanda hicho, kitakachowezesha kupunguza tani 50,000 za sukari za viwanda zinazoagizwa kutoka nje ya nchi. Bashe amesema…