TPA kunadi bandari za Tanga, Mtwara, Kigoma kimataifa

Dar es Salaam. Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imejipanga kuzitangaza kimataifa bandari nyingine zilizopo maeneo tofauti na ile ya Dar es Salaam ili ziweze kuhudumia nchi mbalimbali zinazopitisha mizigo yake Tanzania. TPA inapanga kuzinadi bandari hizo kupitia mkutano wa Global Logistic Convention 2024 unaotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam kati ya Agosti 14…

Read More

Mkongomani atua Coastal Union | Mwanaspoti

KLABU ya Coastal Union imekamilisha uhamisho wa beki wa kushoto raia wa Congo, Hernest Briyock Malonga kutokea Singida Black Stars kwa mkopo wa mwaka mmoja. Akizungumza na Mwanaspoti, Ofisa Habari na Mawasiliano wa Coastal Union, Abbas Elsabri amethibitisha timu hiyo kukamilisha uhamisho wa beki huyo, huku akiweka wazi ni mikakati kabambe ya msimu ujao. “Msimu…

Read More

Dili la Mpole lakwamia hapa

KILICHOTOKEA kwa mshambuliaji George Mpole, kutojiunga na timu mojawapo alizokuwa anahusishwa nazo,  Kaizer Chiefs, Richards Bay zote za Afrika Kusini na Yanga ya Tanzania ni kuchelewa kupata barua, kutoka FC Lupopo. Mpole alijiunga na FC Lupopo, baada ya kufanya vizuri akiwa na Geita Gold, alipoibuka mfungaji bora wa mabao 17  msimu 2021/22, hivyo hakutaka kusalia…

Read More

Waandamanaji wamteua rais wa muda Bangladesh

  MSHINDI wa Tuzo ya Nobel anayejulikana kama “benki kwa maskini” atalenga kuleta utulivu nchini Bangladesh baada ya kuitikia wito wa waandamanaji wanafunzi kumtaka aongoze kwa muda nchi hiyo yenye machafuko kufuatia wiki kadhaa za maandamano mabaya dhidi ya serikali. DHAKA, Bangladesh Muhammad Yunus, 84, ataongoza serikali ya mpito kufuatia kupinduliwa kwa waziri mkuu wa…

Read More

Mamia wamuaga Sauli, aacha watoto 16

Chunya. Mamia ya wananchi, wakiwamo viongozi wa Serikali na vyama vya siasa, wamejitokeza kuuga mwili wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabila maarufu kwa jina la Sauli (46), aliyefariki dunia kwa ajili ya gari Agosti 4, 2024. Sauli ambaye ameacha wake watatu na watoto 16, alifariki dunia mwishoni mwa wiki iliyopita baada…

Read More

Benchikha aivulia kofia Simba mpya “itafanya maajabu”

ALIYEKUWA Kocha wa Simba msimu uliopita, Mualgeria Abdelhak Benchikha amekifuatilia kikosi kipya cha timu hiyo ya Msimbazi kisha kutoa neno, akiitabiria kufanya maajabu msimu wa 2024-2025. Kocha huyo mwenye misimamo na maamuzi magumu alijiunga na Simba, Novemba mwaka jana kabla ya kuachia ngazi  Aprili 2024 mwaka huu mara baada ya Dabi ya Kariakoo iliyoisha kwa…

Read More

Mtoto alijeruhiwa shingo na house girl aruhusiwa

  MTOTO Maliki Hashimu, mkazi wa Goba Jijini Dar es Salaam, aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na majeraha makubwa aliyopata baada ya kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni na mfanyakazi wa ndani ‘house girl’, ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya madaktari kujiridhisha na hali yake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…

Read More