IAA CHASHIRIKI MAONESHO YA NANE NANE THEMI NJIRO ARUSHA
CHUO Cha Uhasibu Arusha IAA kinashiriki Maonesho ya Nane Nane mwaka 2024 katika Kanda ya Kaskazini katika Viwanja Vya Themi Njiro Jijini Arusha, Kanda ya Kati Viwanja vya Nzunguni Jijini Dodoma na Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Viwanja Vya John Mwakangale Jijini Mbeya. Wananchi wanaalikwa kutembelea mabanda ya IAA katika Kanda zote tatu ili…