Kicheko wakandarasi wazawa kukopa hadi bil. 5 NMB bila dhamana
BENKI ya NMB imezindua maboresho ya huduma za kibenki kwa wakandarasi wazawa kwa kuongeza kiwango cha dhamana za kuombea kazi kutoka Sh. Bilioni 2.5 hadi Sh. Bilioni 5, huku ikiongeza pia kiasi cha dhamana za miradi kutoka Sh. Bilioni 1.5 hadi Sh. Bilioni 3. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Maboresho hayo…