RAIS SAMIA APONGEZWA MIRADI YA MAENDELEO KILIMANJARO

Na Mwandishi wetu -Kilimanjaro. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepongezwa kwa juhudi kubwa anazozionesha za kuruhusu kuendelea ujenzi wa miradi mikubwa ya kimkakati kwa kutoa shilingi Bilioni 51 kutekeleza miradi katika Wilaya ya Mwanga. Pongezi hizo zilitolewa na Mbunge wa Viti Maalum kundi la Watu Wenye Ulemavu na…

Read More

KONA YA MALOTO: Mawakili TLS wamechagua kuiweka siasa juu ya taaluma yao

Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS), ilipata viongozi wake Ijumaa, Agosti 2, 2024. Wakili Boniface Mwabukusi, alichaguliwa kuwa Rais wa TLS kwa muhula wa miaka mitatu. Alimshinda mpinzani wake wa karibu, Sweetbert Nkuba. Wengine ambao Mwabukusi aliwashinda ni Revocutus Kuuli, Ibrahim Bendera, Paul Kaunda na Emmanuel Muga. Uchaguzi huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa CCM Jakaya Kikwete,…

Read More