
Sababu, faida bei ya Dhahabu kuvunja rekodi ya muda wote
Kuadimika kwa Dola za Marekani na kuwapo kwa uchaguzi nchini humo vimetajwa kuwa sababu za ongezeko ya bei ya dhahabu duniani hadi kufikia kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa. Tovuti ya Trading Economy Jumatano wiki hii ilionyesha kuwa wakia moja ilinunuliwa kwa Dola za Marekani 2,523 (Sh6.85 milioni), kiasi ambacho hakijawahi kufikiwa tangu mwaka 1970 mauzo ya…