Mastaa Royal, Pazi wanaotisha BDL

MAMBO ni moto. Wakati timu za kikapu za  wanawake zikichuana katika  Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), kwa upande wa mastaa wanaocheza nafasi ya kati,  Juliana Sambwe wa Tausi Royals  na Maria Alex kutoka Pazi Queens wamekuwa kivutio katika ligi hiyo. Kivutio cha wachezaji hao kinatokana na uwezo mkubwa walionao wa uchezaji…

Read More