Hiki hapa kinaweza kuing’oa CCM Ikulu 2025

Miongoni mwa wabunge waliopata umaarufu katika Bunge la mwaka 2015 – 2020, ni Selemani Bungala, maarufu kama Bwege, aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya kutangaza kuhamia ACT Wazalendo baada ya Bunge kuvunjwa. Bwege alijipatia umaarufu kupitia mtindo wake wa kuchangia hoja bungeni uliokuwa ukiwachekesha wabunge na watu wengine wanaomsikiliza…

Read More

Mshery, Khomein wako darasani Yanga

MAKIPA wa Yanga, Abuutwalib Mshery na Khomein Abubakar wana kazi kubwa ya kufanya kumng’oa kipa namba moja wa timu hiyo, Djigui Diarra ambaye ana miaka mingine mitatu kuwapa ushindani huku wakiweka wazi kuwa sio namba tu wanajifunza mengi kutoka kwake. Diarra aliyesajiliwa na Yanga Agosti 2021 akitokea Stade Malien ya nchini kwao Mali mkataba wa…

Read More

MAKUNDI MBALIMBALI YAMIMINIKA BANDA LA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA DODOMA

Wataalamu wa sheria wakitoa elimu ya msaada wa kisheria kwa wananchi waliofika kwenye banda la Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwenye maonesho ya nanenane jijini Dodoma Na Mwandishi Wetu, DODOMA IKIWA kesho ni kilele cha maonesho ya nanenane yanayofanyika kitaifa Dodoma, maelfu ya wananchi ikiwamo vikundi vya vikoba wameendelea kujitokeza kupatiwa elimu…

Read More

JIWE LA SIKU: Ishu ya Kibu, Mnunka ni yale yale

BAADA ya sekeseke la Kiungo mshambuliaji wa Simba, Kibu Denis na klabu yake kumalizika kwenye tamasha la Simba Day, kuna sinema nyingine imeubuka kwa Wekundu wa Msimbazi, lakini safari hii ni kwenye timu ya wanawake, Simba Queens. Suala la Kibu lilivyoanza, alisaini mkataba mpya na Simba, Juni mwaka huu uliokuwa na hekaheka nyingi akitaka mkwanja…

Read More

Kocha: Kichapo cha Pazi hakikuwa rahisi

BAADA ya Mchenga Star kuifunga Pazi kwa pointi 65-62 katika mchezo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam, kocha wa timu hiyo, Mohamed Yusuph  amesema haikuwa raisi kwa timu yake kuishinda timu hiyo. Yusuph ameliambia Mwanaspoti kuwa Pazi ilionyesha kiwango bora  katika robo zote nne. Alisema ushindi walioupata katika mchezo huo ulitokana na…

Read More

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA MAKAMPUNI BINAFSI YA NDEGE

  Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile  akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ndege la Precision Air, Bw. Patrick Mwanri alipotembelea karakana ya matengenezo ya ndege ya Precision Air iliyopo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijii Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe.David Kihenzile  akisaini kitabu cha wageni  alipotembelea…

Read More