Bei ya petroli, dizeli yapaa Agosti

Dar es Salaam. Bei ya petroli na dizeli ya rejareja kwa Agosti 2024 imepanda katika mikoa inayochukua mafuta hayo kwenye bandari za Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ikilinganishwa na Julai. Taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) inaonyesha bei za mafuta kuanzia leo Jumatano Agosti 7, 2024 kwa…

Read More

Rais Dkt. Samia Ateua wenyeviti wa bodi mbalimbali

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo:-  Prof. Faustin Rweshabura Kamuzora ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Uwekezaji ya UTT –…

Read More

Dk Nchimbi awaweka mtegoni mawaziri watano

Kigoma. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amehitimisha ziara ya siku tatu mkoani Kigoma, alikotoa maelekezo kwa mawaziri watano kushughulikia kero zilizoibuliwa na wananchi. Dk Nchimbi aliyeanza ziara mkoani humo Agosti 4, 2024 amefanya mikutano kadhaa, akitoa maelekezo kwa mawaziri kushughulikia kero za wananchi wa Kigoma hasa za umeme, usalama wa…

Read More

Tanzania yaongoza ubora wa Mkonge Duniani

 Mkuu wa Sehemu ya Maendeleo ya  Mkonge wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Simon Kibasa akizungumza na wananchi Waliotembelea Banda la Bodi ya Mkonge Katika Maonesho ya Kilimo Kitaifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma. Mkuu wa Sehemu ya Maendeleo ya  Mkonge wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Simon Kibasa akionesha wananchi…

Read More

Umoja wa Mataifa Watoa Wito wa 'Mabadiliko ya Amani, yenye Utaratibu na Kidemokrasia' Kufuatia Maandamano nchini Bangladesh – Masuala ya Ulimwenguni

Sheikh Hasina, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Watu wa Bangladesh alijiuzulu wadhifa wake na kukimbia nchi baada ya wiki kadhaa za maandamano ya ghasia. Credit: UN Photo/Laura Jarriel na Mwandishi wa IPS (umoja wa mataifa) Jumanne, Agosti 06, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Agosti 06 (IPS) – Baada ya wiki kadhaa za mapigano…

Read More

HATUNA DENI NA MTATURU – Mzalendo

MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu amesema serikali imeridhia kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 104 kwa ajili ya kujenga madarasa matatu na matundu 6 ya vyoo ili kukamilisha shule Shikizi iliyopo Kijiji cha Sambaru na hivyo kuiwezesha kuanza kupokea wanafunzi January 2025. Mtaturu amesema hayo Agosti 4,2024,akiwa katika muendelezo wa ziara yake jimboni ambapo ametembelea…

Read More