Mwili wa Sauli wapokelewa Mbeya, kuzikwa kesho

Mbeya. Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabila unatarajiwa kuzikwa kesho katika Kijiji cha Godima wilayani Chunya Mkoa wa Mbeya. Mwili wa Mwalabila aliyefariki dunia Agosti 4, 2024 kwa ajali ya gari mkoani Pwani, umesafirishwa leo kwa ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ukitokea Kibaha mkoani Pwani ulikokuwa umehifadhiwa…

Read More

TPDC KUANZISHA VITUO VYA GESI ASILIA MIKOA MITATU NCHINI

Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Bi. Marie Msellemu,akizungumza na waandishi wa habarileo Agosti 6,2024  kwenye banda la TPDC katika  maonyesho ya Wakulima Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni  jijini Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya Sophia Mwakagenda,akizungumza na waandishi wa habari mara baada…

Read More

Je! Dhamana za Jinsia Zina Uwezo Gani wa Kuongeza Ufadhili wa Usawa wa Jinsia? – Masuala ya Ulimwenguni

Dhamana za kijinsia zinazidi kutambuliwa kama chombo cha ubunifu ambacho kinaweza kutumika kuingia katika masoko ya mitaji ili kufadhili usawa wa kijinsia. Mkopo: Stella Paul/IPS Maoni na Jemimah Njuki, Vanina Vincensini (New York) Jumanne, Agosti 06, 2024 Inter Press Service NEW YORK, Agosti 06 (IPS) – Dhamana ya jinsia ya Iceland mwezi uliopita ilisababisha msisimko…

Read More

‘Watanzania kateni bima msisubiri hadi muugue’

Dar es Salaam. Watanzania wametakiwa kuwa na tabia ya kukata bima ya afya itakayowasaidia pale watakapougua. Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, wakati akizungumza na waandishi wa habari hospitalini hapo baada ya kupokea ugeni wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar leo Jumanne, Agosti 6, 2024. “Ni…

Read More

Kishindo cha Samia akimaliza ziara Morogoro

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara ya siku sita mkoani Morogoro, akitoa maelekezo ya kujengwa hospitali ya rufaa na kufufuliwa viwanda. Katika mkutano wa mwisho ndani ya mkoa huo uliofanyika Agosti 6, 2024 kwenye Uwanja wa Jamhuri, Rais Samia amemuelekeza Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kutafuta Sh5 bilioni ili kuanza ujenzi wa…

Read More

TTCL YALETA MAPINDUZI YA KIDIJITALI NCHINI – MWAKAGENDE

  Na Okuly Julius Dodoma Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni muwakilishi wa wanawake mkoa wa Mbeya, Sophia Mwakagende amelipongeza shirika la Mawasiliano Tanzania TTCL kwa kuifungia nchi katika eneo la Mawasiliano. Amesema maboresho makubwa yaliyoyafanywa na TTCL katika kuhudumia umma wa watanzania hasa katika ulimwengu wa…

Read More

Utata taarifa za watuhumiwa ‘waliotumwa na afande’

Dar es Salaam. Licha ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni kuthibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa tukio la ubakaji na ulawiti wa binti anayedaiwa kuwa mkazi wa Yombo Dovya, Mkoa wa Dar es Salaam, bado kuna utata wa taarifa kuhusu mwenendo wa hatua zinazochukuliwa katika tukio hilo. Bila kuelekeza idadi ya waliokamatwa au ni…

Read More