ZIARA YA DKT. NCHIMBI YAPIGA HODI KAGERA

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) – Oganaizesheni, Issa Haji Usi Gavu, Katibu wa NEC – Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Katibu wa NEC – Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Hamid Abdallah, akipokelewa eneo la Nyakanazi,…

Read More

Padri kortini kwa mashtaka 178, lipo la kuongoza genge la uhalifu

Musoma. Padri wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bunda mkoani Mara nchini Tanzania, Karoli Mganga amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma akikabiliwa na mashtaka 178, likiwemo la kuongoza genge la uhalifu. Mbali na padri huyo, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni aliyekuwa mhasibu wa kanisa hilo Jimbo la Bunda, Gerald Mgendigendi. Washtakiwa hao wamefikishwa mahakamani…

Read More

KAMPUNI YA BIMA YA BRITAM TANZANIA YATAMBULISHA BIMA MPYA ZA MATIBABU – ‘AFYA CARE’ NA ‘AMANI HEALTH’

Katika kuunga mkono mkakati wa kusaidia kazi kubwa anayoifanya Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhakikisha watanzania wote wanapata huduma ya bima, Britam Insurance Tanzania imetambulisha bima zake mpya za matibabu ‘Afya Care’ na ‘Amani Health,’ mahususi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya ya kina na unafuu kwa watu binafsi na familia. Akizungumza…

Read More

BALOZI NCHIMBI ‘ATUMA SALAAM’ KWA BASHUNGWA, UJENZI BARABARA KIBONDO, FIDIA WANANCHI

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameiagiza Serikali kufanya malipo ya madai ya fedha anazodai mkandarasi anayejenga Barabara ya Kibondo town link, ambaye amesimama kuendelea na ujenzi, ili aendelee na kazi. Aidha, Balozi Nchimbi, ameitaka Wizara ya Ujenzi kulipa fidia kiasi cha Shilingi 1.4 bilioni, ili wananchi wa Kibondo, Jimbo…

Read More

WAKANDARASI WANAOJENGA BARABARA  NCHINI WATAKIWA KUPANDA MITI

  MENEJA ya Idara ya Mipango wa Wakala.ya Barabara Tanzania (TANROADS), Makao Makuu Mhandisi Arnold Masaki,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya  zoezi la upandaji miti katika jengo la TANROADS Makao Makuu linaloendelea kujengwa katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya ushiriki wa shughuli za Maonesho ya Wakulima Nanenane Kitaifa zinazofanyika…

Read More

Sekta tano zinazovutia wawekezaji Tanzania zatajwa

Dar es Salaam. Sekta ya uzalishaji viwandani, usafiri, ujenzi wa majengo ya biashara, utalii na kilimo zimetajwa kuongoza katika kuvutia wawekezaji wengi wa ndani na nje ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi mwaka 2024. Kupitia miradi hiyo jumla ya ajira 353,133 zimetengenezwa huku kilimo kikiongoza kwa kuzalisha kazi kwa watu. Jambo hilo linamfanya mtaalamu…

Read More