
Susu: Mashabiki wa Simba sio bahili
Mwanadada shabiki wa mpira na mwanamitindo, Subira Wahure maarufu kama Susu Kollexion, ambaye mara nyingi huwa anawashangaza watu baada ya kuonekana akiwa amevalia jezi za Simba na Yanga, amesema anaamini kwamba mashabiki wa Jangwani ni bahili kuliko wale wa Msimbazi. Susu ameweka wazi kuwa hana timu ingawa alishiriki matukio yote ya siku za klabu hizo…