
Mpinzani mkuu wa Hasina aachiliwa huru Bangladesh – DW – 06.08.2024
Hatua hiyo ni mfululizo wa matukio yanayoendelea baada ya Waziri Mkuu Sheikh Hasina kujiuzulu na kukimbilia uhamishoni kutokana na maandamano yaliyodumu kwa karibu mwezi mmoja. Begum Khaleda Zia, mwenyekiti wa Chama cha BNP ambaye amekuwa mpinzani mkuu wa Sheikh Hasina kwa miongo kadhaa, amewekwa huru kutoka katika kifungo cha nyumbani alichokuwa akikitumikia. Awali, Zia alihukumiwa…