
TUKIO LA UBAKAJI WAZIRI MASAUNI AJIUZULU MARA MOJA – ACT WAZALENDO – MWANAHARAKATI MZALENDO
Taarifa iliyotolewa na chama cha ACT Wazalendo inasema ” ACT WAZALENDO inalaani vikali tukio la ubakaji lililofanywa na vijana watano huku wakichukua picha za video na kutuma kwenye mitandao ya kijamii” Taarifa zilizosambaa mitandaoni kuanzia Agosti 2, 2024 ziliwaonesha vijana hao wakimwingilia binti huyo kwa kupishana na kinyume na maumbile. Matukio…