
Kazi, mapenzi katika safari ndefu ya Rihanna na Drake
Mwaka 2005, Toronto, Canada wakati Drake, 37, akifanya kazi ya kucheza muziki wa asili katika moja ya migahawa ya jiji hilo la nyumbani kwao, anatambulishwa kwa Rihanna, 36, mwanamuziki wa Pop aliyeanza kutikisa dunia. Rihanna alivutiwa na kijana huyo na kusema kweli mambo yalienda kasi, haikuchukua muda Drake akaonekana katika video ya wimbo wa Rihanna,…