
PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 29,2024
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 29,2024 About the author
Home » PATA HABARI MOTO MOTO KATIKA MAGAZETI YA LEO AGOSTI 29,2024 About the author
Rais wa Baraza Kuu, Dennis Francis, akutana na raia wa Sudan waliokimbia makazi yao katika kambi moja mjini Juba. Katika ziara yake hiyo, alikutana na Rais wa Jamhuri ya Sudan Kusini kujadili makubaliano ya amani na mipango ya usaidizi wa kibinadamu. Credit: Nektarios Markogiannis/UN Photo na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumatano, Agosti 28, 2024…
Unguja. Wakati asilimia 60.6 ya shughuli za utalii Zanzibar zikielezwa kufanywa na wageni, Serikali imesema iwapo wazawa wasipobadilika wataendelea kulalamika nafasi hizo kuchukuliwa na watu kutoka nje ya nchi. Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Zena Said amesema hayo leo Agosti 28, 2024 alipofungua semina ya makatibu wakuu wa SMZ na…
Mchezaji wa zamani na mchambuzi wa soka, Ibrahim Masoud ‘Maestro’ amesema kutolewa kwa timu za Zanzibar za JKU na Uhamiaji kunatokana na ubora mdogo wa wachezaji, wakati Azam wao wakisumbuliwa na kukosa muunganiko. Maestro, aliyewahi kuichezea KMKM ya Zanzibar amesema timu za visiwani humo zina tatizo la ubora mdogo wa wachezaji tofauti na zamani ambako…
Bunda. Watu watatu wamefariki dunia na wengine 13 kujeruhiwa, baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata ajali katika Kijiji cha Sanzate wilayani Bunda Mkoa wa Mara. Ajali hiyo imehusisha gari aina ya Hiace iliyokuwa imebeba waombolezaji wakielekea katika Kijiji cha Mugeta wilayani Bunda kwa ajili ya maziko. Akizungumza kwa njia ya simu, Diwani wa Nyamuswa Ibrahim…
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umeelezea umuhimu wa kulinda uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali katika rasilimali watu kuanzia wanapozaliwa hadi kufikia hatua ya kuajiriwa au kujiajiri katika shughuli mbalimbali za kiuchumi. Mtendaji Mkuu wa OSHA, Khadija Mwenda, akiwasilisha mada kwenye semina ya waajiri na viongozi wa…
Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chama hicho, kinakubaliana na uamuzi wa Jeshi la Polisi lililozuia mkutano uliopangwa kufanyika wilayani Ngorongoro, mkoani Arusha. Leo Jumatano Agosti 28, 2024 katika mitandao ya kijamii ilisambaa barua iliyoandikwa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ngorongoro, L. Ncheyeki…
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV JAMII imeaswa kuendelea kupaza sauti zao kwa kukemea vitendo vya ukatili ambavyo vimekuwa vikiendelea kushamili katika maeneo mbalimbali kwenye jamii inayotuzunguka ili mamlaka husika ziweze kuchukua hatua. “Ukisikia kuna tukio la ukatili wa kijinsia kwa mwanamke au mtoto, hebu fikiria je ingekuwa amefanyiwa mtu wako wa karibu au familia yako…
MKURUGENZI wa Fedha na Mipango wa Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF), Awadh Maulid Mwita amewataka Azam FC kuongeza wigo wa mashabiki wa timu yao ili ipate presha ya kusaka matokeo chanya kwenye mechi zao. Mwita ameyabainisha hayo leo Agosti 28, 2024 wakati akichangia kwenye mjadala wa Mwananchi Space, inayoandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL) wenye…
Kigoma. Majeruhi wanne kati ya watano wa ajali ya treni iliyotokea mapema leo, wamepewa rufaa ya kwenda Hospitali ya Mkoa wa Maweni kwa matibabu zaidi. Majeruhi hao walikuwa wakipatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya Uvinza kabla ya baadhi kuhamishiwa Hospitali ya Maweni kwa matibabu zaidi. Awali, taarifa iliyotolewa kwa umma na Shirika la Reli Tanzania…