
Wakulima watakiwa kuchangamkia fursa za kibenki kuchangia pato la Taifa
WAKULIMA nchini wameshauriwa kuchangamkia fursa mbalimbali zinazotolewa na taasisi za kilimo pamoja na kibenki zinazolenga kuwawezesha kukuza mnyororo wa thamani katika sekta na hatimae kuchangia pato la taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Hayo yameelezwa mkoani Dodoma katika maonesho ya kilimo na ufugaji maarufu nane nane na wadau wa fedha na kilimo wakati…