
Wapinzani nchini Venezuela wachunguzwa – DW – 06.08.2024
Mwendesha mashtaka mkuu waVenezuela ametangaza juu ya kuanzishwa uchunguzi wa makosa ya jinai dhidi ya mgombea urais Edmundo Gonzalez na kiongozi wa upinzani Maria Corina Machado juu ya wito wao kwa vikosi vya jeshi kuacha kumuunga mkono Rais Nicolas Maduro na pia kuacha kuwakandamiza waandamanaji. Soma Pia: Umoja wa Ulaya wasema ushindi wa Maduro hauwezi kutambulika …