
Wakazi Handeni wavutiwa na matumizi ya gesi, wampongeza Rais Samia
WAKAZI wa vijiji vya Msomera na Mkababu wilayani Handeni, Mkoani Tanga wameeleza kuridhishwa na ufanisi wa kampeni ya kumtua mama mzigo wa kuni kichwani iliyoasisiwa na Rais Samia Suluhu kufuatia ongezeko kubwa la matumizi ya nishati ya gesi ya kupikia miongoni mwao badala ya mkaa na kuni kama ilivyokuwa ahapo awali. Anaripoti Mwandishi Wetu,Tanga…