
Teknolojia ya uhimilishaji kutoka Marekani na Brazil kuleta mapinduzi sekta ya mifugo
Wafugaji wazawa sasa wanaweza kuongeza uzalishajiwao wa maziwa na nyama kufuatia kufikiwa na teknalojia mpya na ya kisasa ya uhimilishaji ambayo imefanyiwa utafiti wa kina kutoka nchini Marekani naBrazil. Teknalojia hiyo mpya inayohusisha kuchanganya mbegu za ng’ombe wa asili na mbegu za kutoka Marekani na Brazil ambapo hupelekea kupatikana kwang’ombe chotara imeletwa hapa nchini na…