Haya hapa majina waliofaulu usaili ajira serikalini

Dar es Salaam. Watanzania walioomba kazi katika nafasi mbalimbali ambao walifanya usaili kati ya Januari 14, 2023 na Juni 21, 2024 na kufaulu sasa wameitwa kuripoti kazini. Jana Jumatatu, Agosti 5, 2024, taarifa ya Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imesema watu hao wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo cha kazi ndani…

Read More

WAZIRI MAVUNDE NA WAZIRI MCHENGERWA KUKUTANA KUSHUGHULIKIA TOZO ZA HALMASHAURI KWENYE MADINI

-Hii ni Kufuatia Changamoto za tozo za Halmashauri zilizowasilishwa na wachimbaji Morogoro -Waziri Mavunde awapongeza Morogoro kuvuka lengo la makusanyo ya maduhuli -Serikali kuongeza nguvu ya Utafiti Morogoro -Wachimbaji wamshukuru Rais Samia kwa mashine za uchorongaji Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Wizara ya Madini imekubaliana na Ofisi ya Rais TAMISEMI kukutana na kutatua…

Read More

Washangilia mtaani kukimbia kwa waziri mkuu

  MAELFU ya watu wamejimwaga barabarani kusheherekea kujiuzulu kwa waziri mkuu wa Bangladesh, Bi. Sheikh Hasina, kufuatia wiki kadhaa za maandamano mabaya dhidi ya serikali yake. Anaripoti Saed Kubenea … (endelea). Maandamano hayo yaliyoanzishwa na vuguvugu la wanafunzi kupinga mfumo wa upendeleo wa nafasi za kazi serikalini, yamekomesha miongo kadhaa ya utawala wa familia hiyo,…

Read More

Watuhumiwa ‘waliotumwa na afande’ wakamatwa

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam. Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku…

Read More

Mafanikio katika Ushirikiano wa Kikanda, Licha ya Changamoto Zinazojitokeza – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni na Kingsley Ighobor (umoja wa mataifa) Jumanne, Agosti 06, 2024 Inter Press Service Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) ilianzishwa mwaka 1975 ili kukuza ushirikiano wa kiuchumi katika kanda. Miaka 49 baadaye, jumuiya ya kikanda inajivunia mafanikio makubwa katika utangamano, amani na usalama na utawala bora, lakini pia inakabiliwa na baadhi…

Read More

Fadlu aandaa Sapraizi Simba | Mwanaspoti

WAKATI joto la dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda, kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davies ameandaa sapraizi katika kikosi chake kabla ya kuivaa Yanga Alhamisi, Agosti 8, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mwanaspoti linajua baada ya Simba kumaliza tamasha la Simba Day lililofanyika Jumamosi iliyopita kocha huyo alitoa mapumziko kwa kikosi hicho huku akiwasihi wachezaji kuangalia…

Read More

Dada zangu waliokuwa wanafanya ukahaba mjini warejea nyumbani!

Jina langu ni Samson kutokea Mara nchiniTanzania, katika ukoo wetu kuna kitu ambacho kilikuwa kina mtokea kila mtu, mwanzo nilikuwa nahisi ni bahati mbaya lakini nikaja kubaini kuwa ukoo wetu umevamiwa na mikosi ya kutisha. Kilichonishangaza kulikuwa hakuna mtoto ndani ya ukoo alikuwa anafaulu sehemu yoyote katika masomo yake, wote walikuwa wakifika darasa la saba…

Read More

VIFARANGA VYA KUKU VYAPATA MUAROBAINI KATIKA UKUAJI

Mashine inayosaidia katika uleaji wa vifaranga vya kuku iliyobuniwa na Mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Na Nora Damian Wafugaji kuku wa kisasa na kienyeji sasa wataondokana na adha ya kupata hasara kutokana na vifo vya vifaranga baada ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kubuni teknolojia inayosaidia kulea vifaranga. Teknolojia hiyo ambayo…

Read More