
DCEA yataka wakulima kuondokana na Kilimo haramu cha Bhangi na Mirungi
Mfamasia Mwandamizi kutoka DCEA, Upendo Chenya akizungumza kuhusiana na madhara ya Bhangi na Mirungi na kuwaasa wananchi kuacha kujihusisha na Kilimo hicho haramu. Afisa Elimu wa DCEA, Said Madadi wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye maonesho ya Kitaifa ya Wakulima na Wafugaji (Nane Nane) yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma. *Kilimo hicho kinaondoa…