
Dk Nchimbi ingilia kati wananchi kukosa diwani, ampa Mchengerwa siku 40
Kasulu. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi ameingilia kati suala ya kata ya Kagerankanda kukosa diwani kwa miaka mitatu sasa, kwa kumwelekeza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi, Mohamed Mchengerwa kulitafutia ufumbuzi suala hilo. Aliyekuwa diwani wa kata hiyo, Ezekiel Kabonge alivuliwa udiwani mwaka 2021 kwa madai hakuwa raia wa…