
Aliyesafirisha kilo sita za bangi kwenda Zanzibar afungwa miaka minne
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imemhukumu Abdallah Ally Abdallah, kifungo cha miaka minne jela, baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi zenye uzito wa kilo 6.12. Abdallah, mkazi wa Mpapa visiwani Zanzibar, alidaiwa kukutwa na dawa hizo katika Bandari ya Dar es Salaam,…