
Simba mpya yamshtua Gamondi, afunguka haya
SIMBA mpya ya msimu ujao wa 2024-2025 imeonekana kumshtua Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi baada ya kutamka kwamba wapinzani wake hao wamefanya usajili mzuri na kutengeneza timu nzuri tofauti na ile iliyopita, hivyo amewaambia mastaa wake kuna kitu cha kufanya. Gamondi ametoa kauli hiyo baada ya kuishuhudia Simba Jumamosi iliyopita ikishinda mabao 2-0 dhidi…