Kufeli klabu nne CAF tatizo uwekezaji

MDAU wa michezo Masanja Ngwau, ameeleza tatizo kubwa lililozikumba timu nne zilizotolewa mapema kwenye mashindano ya Afrika kwa klabu ni uwezekezaji duni. Masanja amesema klabu za Zanzibar na hata ile moja nje ya Azam, zimekumbana na kutolewa raundi ya awali kutokana na kukosa maandalizi mazuri ya mashindano hayo na kujikuta zinatolewa mapema. Mdau huyo ameyabainisha…

Read More

Sheria kuipa nguvu zaidi TAA, kusimamia viwanja vyote vya ndege

Dodoma. Bunge limepitisha muswada unaoanzisha Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ambayo sasa sasa itakuwa na jukumu la kusimamia viwanja vyote vya ndege hata vile vidogo ‘airstrip’. Muswada huo uliopitishwa na Bunge ukisubiri kutiwa saini na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa sheria kamili, pia unataka marekebisho ya sheria, ili TAA iwe na wafanyakazi wake…

Read More

Gambo Jr: Azam FC ikaombe msamaha ilikokosea

MDAU wa soka nchini, Hosea Gambo Paul ‘Gambo Jr’ amesema kama kuna sehemu Azam FC ilikosea ni vyema ikaenda kuomba msamaha kutokana na kushindwa kufanya vyema katika michuano ya kimataifa, kwani ni klabu iliyokamilika kwa kila kitu. Gambo ameyabainisha hayo leo Agosti 28, 2024 wakati anachangia mada kwenye mjadala unaoendeshwa na Mwananchi X Space unaohoji…

Read More

Mdau: Bado hatujawa tayari  katika ushiriki wa kimataifa

RAMADHAN Elias ambaye ni mdau wa michezo, amesema ishu kubwa ambayo inazitesa timu za Tanzania katika michuano ya kimataifa ni kutokuwa tayari. Elias ameyabainisha hayo leo Agosti 28, 2024 wakati akichangia mada katika Mwananchi Space, inayoandaliwa na Mwananchi Communications Limited (MCL) isemayo: “Tumekosea wapi timu nne za Tanzania kutolewa mashindano ya klabu Afrika?” Mdau huyo…

Read More

Rais Samia aruhusu wakuu wa taasisi kumshauri bila hofu

Arusha. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma nchini kumwambia ukweli hasa pindi anapowataka wawekeze sehemu ambayo wanaona haiwezi kuwa na tija. Amesema kabla ya kufanya hivyo ni muhimu kufanyika tafiti na kujiridhisha kabla ya kuweka fedha. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatano Agosti 28, 2024 alipokuwa…

Read More

STAMICO KINARA WA MAGEUZI, RAIS SAMIA AIMWAGIA PONGEZI, YAIBUKA NA TUZO KWA MARA YA PILI

● Yapongezwa utoaji wa gawio la bilioni 9 kwa Serikali 2018\19-2023\24 ●Rais, Dkt.Samia aipongeza STAMICO kwa kukusanya bilioni 85 katika mwaka 2023/2024 ● Yapata tuzo ya Ufanisi Katika Utendaji (Operational Excellence And Financial Performance ) Arusha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amelipongeza Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa…

Read More