TCB: Tuna imani na uzoefu mkubwa wa Lilian Mtali

MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Tanzania (TCB), Adam Mihayo amesema ana imani na uzoefu mkubwa wa Lilian Mtali ambaye ameteuliwa na benki hiyo kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumzia ujio wa Mtali katika Benki ya TCB, Mkurugenzi huyo amesema pia ana imani…

Read More

Kampuni ya Uturuki kuwezesha ubia sekta binafsi Tanzania

Dar es Salaam. Taasisi ya Sekta Binafsi  Tanzania (TPSF), imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya ushauri ya Uturuki, Africapital Investment Holdings Ltd itakayosaidia kutafuta kampuni zitakazoingia ubia wa kutoa mitaji kwa wafanyabiashara nchini Tanzania. Akizungumza leo Jumatatu Agosti 5, 2024, Mkurugenzi Mkuu wa TPSF, Raphael Maganga amesema changamoto inayowakabili wafanyabiashara nchini ni upatikanaji…

Read More

AIRTEL WAMKABIDHI PIKIPIKI MSHINDI WA PROMOSHENI YA UPIGE MWINGI

 Meneja wa uhusiano na Mawasiliano Airtel, Jackson Mmbando (katikati) akimkabidhi Shabani Ramadhani mshindi ufunguo wa pikipiki mara baada ya kuibuka mshindi wa  promosheni yao ya upige mwingi iliyofanyika kwa miezi mitatu. kampeni hiyo imehitimishwa leo Agosti 05, 2024 kwa kumkabidhi mshindi huyo pikipiki. Kulia ni Meneja Airtel Money Makao Makuu, Janeth Kwilasa. Mshindi wa promosheni ya upige mwingi na Airtel, Shabani…

Read More

Namna mastaa hawa wanavyoibeba Simba Dk 90

Simba imefanya yao kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa katika tamasha la Simba Day lililoenda kwa jina la Ubaya Ubwela lililofanika Jumamosi na wana Msimbazi wakapata burudani ya aina yake, huku wakishuhudia soka tamu kwa dakika 90 kutoka kwa kikosi hicho kinachojitafuta kwa sasa baada ya misimu mitatu mibovu. Ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya APR…

Read More

DK NCHIMBI NA MAAGIZO KWA MAWAZIRI HAWA, KIGOMA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa maelekezo kwa mawaziri wanne kufuatia maombi ya wananchi wa Mwandiga, mkoani Kigoma kuhusu umeme, usalama wa raia na mali zao, maji na kituo cha afya. Balozi Nchimbi ambaye yuko Kigoma akiendelea na ziara yake ya siku 3 mkoani humo, aliyoanza Agosti 4,…

Read More

Wenje atangaza nia kugombea nafasi ya Lissu Chadema

Mwanza. Joto la uchaguzi ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) limeanza kupamba moto, baada ya Ezekia Wenje kutangaza nia ya kuwania nafasi ya makamu mwenyekiti wa chama hicho-Bara. Wenje ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria Chadema yenye mikoa ya Mwanza, Kagera na Geita, anakusudia kujitosa kuomba ridhaa ya nafasi hiyo…

Read More

Kampuni ya Ufugaji Nyuki yataja vikwazo Uuzaji wa Asali

Sehemu ya mtambo wa kutengeneza Asali. Mkurugenzi wa Kampuni ya Ufugaji Nyuki Gombensabo LTD And Chamwino akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na changamoto ya Ufugaji na Uuzaji wa Asali. Na Chalila Kibuda ,Dodoma Mkurugenzi wa Kampuni ya Ufugaji Nyuki ya  GEMBENSABO Ltd and chamwino Mazari Taji amesema kuwa Soko la Asali limekuwa kubwa ndani…

Read More