
BARRICK RUNNERS NDANI YA SERENGETI ANTI-POACHING RUN 2024
Mfanyakazi wa Barrick,Safarani Msuya akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa Katibu Tawala wa wilaya ya Serengeti,Angelina Marco Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini kupitia klabu zao za mchezo wa Marathon wameshiriki katika mbio za kilomita 12 za Serengeti Anti-poaching Run 2024 zilizofanyika wilayani Serengeti mkoani Mara. Wakimbiaji kutoka Barrick Runners clubs wamekuwa wakishiriki marathon mbalimbali…