
TCB YAMKARIBISHA MKURUGENZI MPYA WA BIASHARA ZA WATEJA WADOGO NA WA KATI LILIAN MTALI
Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa. Bi. Mtali amefanya kazi na…