M23 wateka mji wa mpakani na Uganda

  Waasi wa M23 wamedaiwa kuuteka mji mmoja wa mpakani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bila mapigano jana Jumapili siku ambayo usitishaji mapigano kati ya DRC na nchi jirani ya Rwanda ulikusudiwa kuanza kutekelezwa. Inaripotiwa Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Mji wa Ishasha uliopo mpakani na Uganda, umekuwa wa karibuni zaidi kuangukia mikononi…

Read More

Ajira 26,755 serikalini: Mbinu bora ya kuomba, kufanikiwa

Dar es Salaam. Wakati Serikali ya Tanzania ikitangaza ajira 26,755 ndani ya kipindi cha miezi miwili, wataalamu wa masuala ya rasilimali watu wameeleza mbinu za kuomba ajira hizo na kuingia kwenye usaili. Baadhi ya mbinu hizo, wakati wa usaili ni lazima muombaji wa ajira aonyeshe anakwenda kuongeza ubunifu na kuleta matokeo na si uhitaji wa kazi,…

Read More

TANESCO yatumia Maonesho ya Nane Nane kutoa elimu kwa wananchi

Meneja wa Masoko wa TANESCO Sylvester Matiku akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na utendaji wake katika kuhudumia wananchi kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma. Na Chalila Kibuda ,Michuzi TV Dodoma SHIRIKA  la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuwa wananchi watumie fursa ya Maonesho ya Kilimo Nane Nane…

Read More

Umati wafurika Mkutano wa Rais Samia Ifakara

Maelfu ya Wananchi wa Kilombero Mkoani Morogoro leo wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa CCM Ifakara kwenye Mkutano wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan kumshukuru kwa Miradi mingi ya Maendeleo wakati Ziara ya Kikazi Mkoani humo leo August 05,2024. #RaisSamiaZiaraMoro . . . . . . . . ….

Read More

Mwabukusi: TLS tunafuatilia binti aliyetendewa ukatili wa kingono

  RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi amelaani kitendo cha udhalilishaji na ukatili wa kijinsia aliofanyiwa binti mmoja mkazi wa Yombo Dovya huku akirekodiwa video na wanaume waliokuwa wakimtendea uovu huo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Pia amesema TLS inalitaka Jeshi la Polisi kuchukua hatua stahiki za kisheria pamoja…

Read More

LHRC yamtaka Rais Samia ajitokeze sakata la msichana aliyebakwa

Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani kitendo cha kikatili na unyanyasaji wa kijinsia kilichoripotiwa kinachomuhusu msichana (jina halijafahamika), mkazi wa Yombo Dovya, Wilaya ya Temeke, Mkoa wa Dar es Salaam. Pia kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoka hadharani na kuonyesha kuchukizwa na tukio hilo la udhalilishaji na ukatili. Msichana…

Read More

Rais Samia akemea siasa kuchochea uvamizi wa hifadhi

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amekemea tabia ya uanzishwaji wa vijiji vipya unaofanywa kwa masilahi ya kisiasa, akisema ndiyo inayochochea uvamizi wa maeneo ya hifadhi. Sambamba na hilo, ameitaka Wizara ya Maliasili na Utalii isisubiri wananchi wavamie na kuyaendeleza maeneo ya hifadhi ndiyo ishtuke, badala yake inapaswa kuyalinda mapema. Rais Samia ametoa maelekezo…

Read More