Matarajio ya harusi yalivyogeuka msiba Rufiji

Dar es Salaam. Waswahili husema, “kisicho riziki hakiliki,” methali hiyo imeakisi uhalisia katika familia ya Jamal Kwangaya iliyopo wilayani Rufiji mkoani Pwani. Familia hiyo iliyokuwa katika matarajio ya  harusi, ghafla mpango huo uligeuka huzuni, baada ya aliyetarajiwa kuolewa kupoteza maisha. Bibi harusi mtarajiwa Hanifah Kwangaya ni mmoja kati ya ndugu wanne wa familia moja walipoteza…

Read More

TLS YALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI, YAITAKA JESHI LA POLISI KUCHUKUA HATUA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii na taarifa rasmi kutoka kwa Jeshi la Polisi Tanzania kuhusu video iliyosambaa ikimuonyesha mwanamke ambaye anadaiwa kuwa anaishi Yombo Dovya, Dar es Salaam, akifanyiwa vitendo vya udhalilishaji na ukatili wa kijinsia na kundi la wanaume, huku video hiyo ikiandikwa na kurekodiwa. TLS kimesema tukio…

Read More

Waziri Mkuu Bangladesh ajiuzulu, waandamanaji wakivamia Ikulu

Dhaka. Waziri Mkuu wa Bangladesh, Sheikh Hasina amejiuzulu na kukimbia nchi kutokana na maandamano yanayoendelea yaliyosababisha vifo vya watu takribani 300. Tovuti ya Al Jazeera imesema Hasina ameondoka nchini humo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 baada wananchi kupuuza amri yake ya kutotoka nje na kuvamia Ikulu ya Waziri Mkuu huyo iliyopo jijini Dhaka. Takriban watu…

Read More

Waziri Mkuu awaonya wavunja sheria – DW – 05.08.2024

Kutokana na vurugu hizoWaziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer atafanya mkutano wa dharura leo hii Jumatatu. Mkutano huo wa usalama wa nchi kwa jina Cobra, utawaleta pamoja mawaziri na polisi watakaojadili jinsi ya kuzimaliza ghasia zilizozuka kwa mara ya kwanza huko Southport, kaskazini magharibi mwa Uingereza ambako watoto watatu waliuawa. Hadi kufikia sasa mamia ya…

Read More