
Hezbollah yaendelea kukabiliana na Israel – DW – 05.08.2024
Kundi la wanamgambo wa Lebanon la Hezbollah limesema mashambulizi yake ya droni mapema leo yaliyoilenga kambi ya jeshi, ni majibu kutokana na mauaji ya Israel yaliyofanywa hivi karibuni nchini humo. Israel imesema mashambulizi hayo yaliwajeruhi askari wawili na kusababisha uharibifu kadhaa. Israel imejibu mashambulizi na kulenga ngome za Hezbollah kusini mwa Lebanon na kuwaua watu…