
UJENZI WA KITUO CHA UMAHIRI CHA MATIBABU TANZANIA TUMAINI JIPYA SEKTA YA AFYA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Tanzania inatarajiwa kuanza ujenzi wa Hospitali ya Kituo cha Umahiri cha Matibabu, mradi mkubwa unaotekelezwa na African Export-Import Bank (Afreximbank) kwa kushirikiana na Hospitali ya Chuo Kikuu cha King, iliyoko London, Uingereza. Hospitali hii itakuwa na viwango vya dunia na inatarajiwa kuwa na uwezo wa kulaza wagonjwa 500 kwa wakati mmoja, ikitoa huduma za kisasa…