
Tanesco wasema maboreshaji mita za luku kukamilika Novemba
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Dodoma Shirika la Umeme (Tanesco) limesema maboresho yanayoendelea katika mfumo wa kulipia umeme kadiri mteja anavyotumia (Luku) yatakamilika Novemba 24 mwaka huu. Shirika hilo linafanya maboresho hayo kwa lengo la kuhakikisha mfumo huo unaendana na viwango vya kimataifa na kuongeza usalama wa mita hizo. Akizungumza Agosti 4,2024 Meneja Masoko wa…