
Mabosi wapya Iringa wamepania sana
UONGOZI mpya wa Chama cha Soka la Wanawake Mkoa wa Iringa umesema baada ya kukamilika kwa uchaguzi, shughuli iliyobaki ni kupiga kazi kuhakikisha mpira unachezwa wilaya zote. Uchaguzi wa chama hicho ulifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita na kuwapata viongozi wake watakaokiongoza kwa miaka minne ijayo huku matarajio ya wengi ikiwa ni kuona mabadiliko. Waliochaguliwa ni…