
RAIS SAMIA AMALIZA KERO YA MAJI RUAHA-KILOMBERO – MWANAHARAKATI MZALENDO
WAZIRI wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amesema Wizara inaleta Shilingi Milioni 500 kukamilisha mradi mkubwa wa maji katika eneo la Ruaha lililopo katika Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro. Mradi huu ni ahadi ya Mhe Rais Samia kwa wana Ruaha alipofanya ziara katika eneo hilo na kupokea changamoto kubwa ya Maji waliokua wanapatia wana Ruaha. Waziri…