
Ateba aanza na bao, Simba ikibanwa mbavu.
STRAIKA mpya wa Simba, Leonel Ateba ameanza kufungua akaunti ya mabao katika kikosi hicho, baada ya jioni ya leo Jumamosi, kutupia bao katika sare ya 1-1 iliyopata timu hiyo mbele ya Al Hilal ya Sudan. Katika mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge jijini Dar es Salaam, nyota huyo…