TASAC yajipanga kuhudumia wafanyabiashara, Diaspora Comoros

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limejipanga kutatua changamoto za wadau wanaotumia usafiri wa njia ya maji wanaosafirisha mizigo baina ya Tanzania na Visiwa vya Comoros. Akitoa salamu za Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Kaimu Meneja wa Usajili na Ukaguzi wa Meli, Mhandisi Said Kaheneko katika Kliniki ya Diaspora nchini Comoros iliyoandaliwa na Ubalozi wa…

Read More

Hamis Mabetto sasa ni Mwananchi

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga, Haji Manara ‘Bugatti’ amesema amemsilimisha rasmi Mwanamitindo maarufu nchini, Hamisa Mobetto kuwa shabiki wa timu hiyo ya Jangwani kutoka Msimbazi. Hatua hiyo imejiri wakati wa tamasha la kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ ambapo msanii huyo alivalishwa jezi ya Mwananchi na Stephane Aziz KI aliyeitwa jukwaani na Haji Manara. Katika tukio…

Read More

Rais Samia, Dk Mpango wasimamisha utambulisho 

WAKATI utambulisho wa wachezaji ukiendelea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango wasitisha zoezi hilo na kuzungumza na wananchi. Hayo yalitokea baada ya tukio la utambusho kusitishwa na kumkaribisha Makamu wa Rais ili aweze kusema neno ambapo alimpigia simu Mh. Rais Samia ili aweze kutoa…

Read More

Rais Samia aagiza sukari ya viwandani kuzalishwa nchini

Dar es Salaam. Kutokana na Tanzania kuagiza zaidi ya tani 250,000 ya sukari ya viwandani ambayo imetajwa kama upotevu wa fedha za kigeni, Rais wa Samia Suluhu Hassan ameagiza kiasi hicho cha sukari kizalishwe hapa nchini. Katika kulitekeleza hilo Rais Samia amewaagiza mawaziri wa viwanda, na kilimo kuweka sera nzuri ili viwanda vilivyopo nchini vizalishe…

Read More

Singida yamkomalia Adebayor | Mwanaspoti

KAMA ulifikiria Singida Black Stars imekamilisha usajili, basi utakuwa unajidanganya kwani mabosi wa kikosi hicho kwa sasa wako mbioni kukamilisha uhamisho wa winga raia wa Niger, Victorien Adebayor kutoka AmaZulu FC ya Afrika Kusini. Taarifa kutoka ndani ya timu hiyo, zililiambia Mwanaspoti kuwa, ni kweli mabosi wa Singida wanapambana kwa ajili ya kukamilisha dili hilo…

Read More

Mmiliki mabasi ya Sauli afariki ajalini Mlandizi

Kibaha. Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Sauli, Solomon Mwalabhila amefariki dunia kwa ajali ya gari iliyotokea Mlandizi mkoani Pwani. Akizungumza na kwa njia ya simu na Mwananchi Digital  leo Agosti 4, 2024  Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani,  Pius Lutumo amesema Mwalabhila amefariki leo baada ya gari lake kugongwa kwa nyuma na lori la…

Read More

Chama afunika Kwa Mkapa | Mwanaspoti

UTAMBULISHO wa mchezaji mpya wa Yanga, Clatous Chota Chama, umeibua shangwe la mashabiki wa timu hiyo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Chama amejiunga na Yanga msimu huu akitokea Simba aliyoitumikia kwa misimu sita tofauti tangu alipojiunga nayo Julai Mosi, 2018, akitoka Klabu ya Lusaka Dynamos ya kwao Zambia. Usajili wa nyota huyo ulizua gumzo nchini…

Read More