Diarra apewa mitatu Yanga | Mwanaspoti

KIPA wa Yanga, Djigui Diarra amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho hadi mwaka 2027. Hatua hiyo imejiri katika utambulisho wa wachezaji na benchi la ufundi la kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao ambapo Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said alitangaza kumuongezea mkataba mpya nyota huyo. Diarra alijiunga na kikosi…

Read More

Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa

Mbeya. Wakati matumizi ya sola yakionekana kuanza kushika kasi kwa wakulima, Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imevielekeza vyombo vya usalama mipakani kuhakikisha inadhibiti uingizwaji holela wa bidhaa hizo zisizo na ubora. Pia, imezitaka kampuni zinazohusika na uuzaji wa sola na pampu za umwagiliaji kufanya biashara hiyo kwa kuzingatia kipato cha mkulima na mwananchi mwingine, ili…

Read More

Makamu wa Rais aipongeza Yanga kwa kufunika

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Philip Mpango, amehudhuria kilele cha tamasha la ‘Wiki ya Mwananchi’, akiwa ndiye mgeni rasmi na kuipongeza Yanga kwa kufunika kwa tamasha hilo la Wiki ya Mwananchi. Wakati wa utambulisho wa wachezaji wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao, washereheshaji wa tamasha hilo, Zembwela na Maulid Kitenge walimtangaza Mpango kuwa…

Read More

Afariki dunia kwa kuzama Mto Ngerengere

Morogoro. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Semeni (21), amefariki dunia baada ya kuzama kwenye Mto Ngerengere, mkoani hapa. Akizungumza na Mwananchi Digital jana akiwa eneo la tukio, shuhuda Alphonsi Ernesto amesema Semeni alizama maji jana Jumamosi Agosti 3, 2024, wakati akiogelea. Amedai licha ya marafiki zake kumuonya asithubutu kuogelea kwa kuwa si mzoefu,…

Read More

Haji Manara atua na Zaylissa, aamsha vaibu kwa Mkapa

MSEMAJI wa Yanga, Haji Manara ameibua shangwe kwa mashabiki wa timu hiyo baada ya kuhudhuria tamasha la ‘Wiki ya Mwananchi’ akiwa na Mke wake, Zaylissa. Manara ametua uwanjani hapo ikiwa ni siku chache tangu amalize kifungo cha miaka miwili cha kutojihusisha na masuala mbalimbali ya michezo ndani na nje ya nchi. Wakati wa kuingia uwanjani…

Read More

Mtoto wa Manji atua kwa Mkapa

UNAWEZA kusema mtoto wa nyoka hazai kuku, kwani mtoto wa aliyekuwa Mfadhili na Mwenyekiti wa Yanga, Mehboub Manji ametua Uwanja wa Benjamin Mkapa kushuhudia Tamasha la Wiki ya Mwananchi. Mehboub ametua uwanjani hapo kimyakimya katika tamasha hilo la sita la Yanga ikiwa ni mara ya kwanza tangu baba yake alipofariki dunia Juni 29, akiwa Marekani….

Read More

Mastaa Yanga wamsha shangwe wakitinga Kwa Mkapa

KIKOSI cha Yanga kimetinga ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, kikiwa kimevaa simpo tu, tofauti na miaka ya nyuma lakini kikiamsha shangwe kwa mashabiki walioujaza uwanja huo katika Tamasha la Wiki la Mwananchi.  Timu hiyo imewasili Uwanja wa Mkapa saa 12:09 Jioni ikiwa na msafara wa magari matatu tu likiwemo basi lao kubwa na pikipiki…

Read More

Konde Boy aliamsha kwa Mkapa

NYOTA wa muziki wa Bongo Felva, Rajab Abdul ‘Harmonize’ a.k.a Konde Boy amewapagawisha mashabiki wa timu hiyo wakati wa kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’ kilichofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Konde Boy aliingia uwanjani hapo kwa ajili ya kutoa burudani kwa mashabiki wa timu hiyo huku akianza kuimba wimbo wa ‘Yanga Hii Unaifungaje’. Wimbo huo…

Read More