
DJ Ally B akiwasha kwa Mkapa
DJ maarufu nchini, Ally Suleiman Simba ‘DJ Ally B’, amegeuka msanii wa muda mfupi, nje na kazi yake ameamua kuimba nyimbo mbalimbali za wakongwe. DJ huyo alikuwa anapiga nyimbo na kuimba ambapo alifanya shangwe za mashabiki zilipuke katika Uwanja wa Benjamin Mkapa katika tamasha la kilele cha ‘Wiki ya Mwananchi’. Ally B, alikuwa anazima muziki…