
DKT.DUGANGE AHIMIZA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Dkt. Festo Dugange amehimiza wananchi kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa viongozi hao ndio wanaomsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuleta maendeleo katika maeneo yao. Mhe. Dugange ametoa kauli hiyo tarehe 4 Agosti, 2024 alipotembelea banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI…