Ndoa hailazimishwi, epuka kuoa au kuolewa na RST

Tumeumbwa watu kila aina, wabaya hata wazuri. Kwa vile ndoa hufungwa na wanadamu, tunaomba tugusie suala nyeti bila kuonekana kama tunabagua au kuwawekea utu ubaya. Hivyo, siyo uzushi kusema dunia ina watu wazuri na wabaya. Leo tutaongelea tutakachokiita RST, ni maana ya Roho mbaya, Sura mbaya na Tabia mbaya. Kwanza, tukubaliane. Kuna watu wenye sifa…

Read More

Mwananchi Day 2024… Nyie hamuogopi!

NDIYO kaulimbiu iliyoko mtaani leo katika siku ambayo Yanga wana pati lao la Mwananchi Day kwenye Uwanja wa Mkapa. Wanatamba kikosi chao ni bandika bandua hasa kutokana na mastaa wazoefu waliowaongeza kutoka katika baadhi ya washindani wao ikiwemo Simba na Azam. Shoo ya leo inafanyika saa 24 tu, tangu Simba nao wafanye pati lao la…

Read More

EWURA CCC YAENDELEA KUTOA ELIMU MAONESHO YA NANENANE DODOMA

Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za nishati na maji (EWURA CCC) leo Agosti 4,2024 imeendelea kutoa elimu katika maonesho ya Nanenane yanayoendelea katika viwanja vya Nzunguni Jijini Dodoma. Katika elimu hiyo iliyoitoa kwa baadhi ya Wananchi waliotembelea katika banda hilo ni pamoja na kazi inazozifanya na wajibu wa mtumiaji wa huduma za maji…

Read More

Picha zingine Kutoka kwa Mkapa DSM, ‘Yanga Day’

NI Agosti 4,2024 ambapo Mashabiki wa klabu ya Yanga SC wamejitokeza kwenye siku ya Mwananchi katika Uwanja wa Taifa ‘Benjamin Mkapa’ Dar es Salaam. Katika siku hii maalumu ya Wana Yanga wataweza kuwashuhudia wachezaji wapya waliosajiliwa katika klabu hiyo. Hizi ni baadhi ya picha unaweza ukazitazama kufahamu kile kilichojiri. . . . . . ….

Read More

Ufadhili wa kilimo-viwanda ulivyobadili maisha ya Ruhigo

Kigoma. Kijana Ruhigo Mayala, ameleta mapinduzi ya kilimo katika kijiji chake cha Itebula, wilayani Uvinza Mkoa wa Kigoma. Safari yake iliyojaa uvumilivu, uthubutu, ubunifu na faida ya elimu inaonesha matunda ya programu ya Serengeti Breweries Limited (SBL) ya udhamini wa kilimo-viwanda ya kuwawezesha wanafunzi katika masomo ya kilimo. “Baada ya kumaliza masomo yangu ngazi ya…

Read More

Hao Prisons mikwara mingi | Mwanaspoti

WAKATI Tanzania Prisons ikihitimisha kambi yake Dar es Salaam na kurejesha nyota wake wawili, benchi la ufundi na uongozi umetambia kikosi chake wakiahidi msimu ujao kucheza kimataifa. Wajelajela hao waliweka kambi yao Dar es Salaam kwa takribani mwezi mmoja na leo Jumatatu watakuwa nyumbani jijini Mbeya kwa maandalizi ya mwisho ya Ligi Kuu inayotarajia kuanza…

Read More