UVCCM yapewa rungu kuwashughulikia walioanza kampeni

Unguja. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Hemed Suleiman Abdulla amekemea tabia ya baadhi ya makada wanaotangaza nafasi mbalimbali za kugombea kabla ya muda wake, huku wakijua kufanya hivyo ni kinyume na Katiba. Hemed ambaye pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, amemuagiza Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana…

Read More

CRDB Bank Marathon Congo yakusanya Dola 50,000 kusaidia wodi ya watoto Hospitali ya Jason Sendwe DRC

Mgeni rasmi katika mbio hizo ambazo zimewekahistoria katika marathon ambazo zimewahikufanyika katika jiji la Lubumbashi alikuwa ni Gavana wa Jimbo la Haut-Katanga Mhe. Jacques Kyabula ambaye aliambatana na mawaziri 10 wa Jimbo hilo wakiongozwa na Waziri wa Michezo, pamoja na Waziri wa Afya. Akizungumza baada ya kumalizika kwa mbiohizo za hisani zilizobeba kaulimbiu isemayo‘Tabasamu Limevuka…

Read More

Kumekucha Climate Change Marathon 2024

MSIMU wa tatu wa mbio za mabadiliko ya Tabia Nchi kwa mwaka 2024, Climate Change Marathon 2024 zinatarajiwa kufanyika wilayani Pangani kwa mara ya  kwanza zikihusisha washiriki kutoka ndani na nje ya Tanzania zikilenga kukusanya fedha zitakazotumika kugawa majiko ya gesi ya kupikia kwa wanawake. Wanufaika katika mbio hizo ambao ni wanawake kutoka katika wilaya…

Read More

Tanzania sasa mtazamaji mbio za magari Afrika

KWA mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miongo miwili, Tanzania imeshindwa kuandaa raundi ya nne ya mbio za magari ya ubingwa wa Afrika  na ukata umetajwa kuwa ndiyo sababu kuu. Kwa mujibu wa kalenda ya Chama cha Mbio za Magari cha Dunia (FIA), Tanzania ilikuwa iandae raundi ya nne Agosti 23-25 mwaka huu,…

Read More

UONGOZI WA MACHINJIO YA NGURU RANCH HILLS WAPONGEZA SERA ZA RAIS SAMIA KUWEZESHA UPATIKANAJI MASOKO YA KIMATAIFA

Na Mwandishi Wetu, Morogoro UONGOZI wa Machinjio ya Nguru Ranch Hills, umempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Sera zake nzuri za biashara na uwekezaji, zilizopelekea ufanisi katika uendeshaji wa Machinjio hayo ya kisasa nchini. Shukrani hizo zimetolewa na Meneje Mkuu wa Machinjio hayo, Bw. Eric Cormack, wakati…

Read More

Mtanzania uso kwa uso na Mzambia usiku wa vitasa

MJI wa Kyela utasimama kwa muda kupisha usiku wa ngumi pale mabondia 18 wakiwamo Joseph Mwaigwisya (Tanzania) na Mbachi Kaonga raia wa Zambia watakapozichapa Agosti 8 katika ukumbi wa Unenamwa uliopo mjini humo. Mabondia hao kila mmoja anajivunia rekodi zake za ndani na nje na kufanya shauku kuwa kubwa kwa wapenzi wa ndondi na Mwaigwisya…

Read More

Kwa Mkapa mambo yameanza kunoga

NYOMI ya mashabiki wa Yanga ikiwa imefurika nje, walioingia ndani wanaendelea na burudani ya muziki, huku mhamasishaji wa tamasha la wiki la Mwananchi, Dakota akiifanya kazi yake vyema. Ndani ya Uwanja wa Benjamin Mkapa, mashabiki wanaendelea kuingia, huku zikipigwa nyimbo za wasanii mbalimbali Dakota akiwa anawahamisha. Yanga leo inafanya tamasha lao, linalotumika kutambulisha kikosi chao…

Read More

Wananchi wafurika kwa Mkapa | Mwanaspoti

BALAA katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kwani mashabiki wa timu ya Yanga wamejitokeza kwa wingi jambo lililosababisha foleni kubwa. Muonekano wa nje ya uwanja kwa sasa unaonyesha idadi kubwa ya mashabiki waliovalia jezi nyeusi,njano na kijani wakiwa wamepanga mistari ya kuingia ndani ya dimba hilo iliyofika mpaka barabarani. Ikiwa bado ni saa sita kabla ya…

Read More