
Prince Dube awakuna Wananchi mapemaa
WAKATI zimesalia saa chache kabla ya kikosi cha Yanga kutambulishwa kwa mashabiki katika sherehje za kuhitimisha Kilele cha Wiki ya Mwananchi, mashabiki wa klabu hiyo mapema tu wameanza kumtja straika mpya wa timu hiyo, Prince Dube wakidai ndiye usajili uliowakuna zaidi. Mashabiki hao wamesema Dube ndioye aliyebeba kwa sasa matumaini yao katika eneo la mbele…