
Timu ya Wanasheria yaambatana na Rais Samia ziara ya Morogoro
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital TIMU ya wanasheria wa kampeni ya Mama Samia Legal Aid imeambatana na Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ziara yake mkoani Morogoro kwa ajili ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi. Rais Samia yuko katika ziara ya siku sita mkoani Morogoro iliyoanza tarehe 2 na inayotarajiwa kukamilika Agosti 7, 2024….